Search

Check with seller
PDF Kitabu cha madundisho - Lagos

Books - Magazines
Posted 3 weeks ago
5 views

Check with seller
PDF Kitabu cha madundisho - Lagos

Books - Magazines
Posted 3 weeks ago
5 views

Description

Ili kuingia enzi mpya.Idioma Suajili Enzi ya Utakaso, enzi kubwa baada ya nyakati: Mungu ndani mwetu na sisi ndani ya MunguProduct Information:Katika nyakati hizi za misukosuko, mnapitika mambo mengi ambayo hatuna uwezo wa kuimudu. Lakini kila mmoja ana uwezo wa kuingoza “maisha yake ya kiroho”, akitaka. Ndiyo maana Gabriele, nabii na mjumbe wa Mungu kwa wakati wetu huu, anotoa kitabuni humu maelekezo kwa ajili ya kuingia katika Enzi Mpya, kwa kumsaidia kila mmoja kuitolea maisha yake mwelekeo mpya.Anatuonyesha njia inayotufikisha kwenye uhuru wa kiroho, kwenye Amani, pia kwenye mawasiliano halisi na majirani, wanyama na mazingira.Kwa hiyo tunaishi tukiwa na dhamiri kwamba Mungu, Roho huru, yupo karibu sana na kila mmoja wetu: Mungu ndani mwetu na sisi ndani ya Mungu.Madondoo :“Kila mmoja wetu anajenga mwenyewe, siku baada ya siku, utu wake. Hayo yana maana kwamba kila siku, kupitia mwenendo wetu, tunajenga mwili wetu kwa kuuongezea nguvu, au kwa kuupunguzia kiwango cha nguvu, na hayo tu kutokana na namna yetu ya kuishi inayojionyesha katika mienendo yetu.”Free downloadhttpwww.editions-gabriele.com/

Contact Gabriele Publishing (seller)

    PDF Kitabu cha madundisho - Lagos - 1
    PDF Kitabu cha madundisho - Lagos
    Check with seller
    To protect against prohibited activities, we may check your message before it is forwarded to the recipient and, if necessary, block it.

    Comments

    No comments has been added yet, be first to comment this ad!
    Add comment

    Seller details

    Gabriele Publishing
    Gabriele Publishing
    1 active listings
    Non-Professional seller
    Unregistered user
    Contact

    Listing location

    Lagos, Lagos, Nigeria
    6.45407, 3.39467

    Stay safe!

    Never pay down a deposit in a bank account until you have met the seller, seen signed a purchase agreement. No serious private advertisers ask for a down payment before you meet. Receiving an email with an in-scanned ID does not mean that you have identified the sender. You do this on the spot, when you sign a purchase agreement.
    PDF Kitabu cha madundisho - Lagos
    Check with seller PDF Kitabu cha madundisho - Lagos by Gabriele Publishing